Latest News


More

HARAMBEE NDOGO KUFANYIKA JUMAPILI YA PASAKA KANISA LA K.K.K.T - USHARIKA WA MWENGE

Posted by : Unknown on : Sunday, April 13, 2014 0 comments
Unknown


Harambee ndogo ya ujenzi wa kanisa itafanyika jumapili ya pasaka katika usharika wa Mwenge wa kanisa la K.K.K.T
Akitangaza katika jumapili ya leo mchungaji kiongozi wa Usharika huo mchungaji Kaanasia Msangi alisema harambee hiyo itakua ni kwa washarika tu pamoja na wageni watakaoabudu siku hiyo ya sikukuu ya pasaka
Pichani juu katibu wa kamati ya ujenzi bwana Ngowi akitoa taarifa fupi ya ujenzi ibadani hapo leo

No comments:

Leave a Reply