Latest News


More

MWIMBAJI CHENGULA ASHIRIKI IBADA KANISA LA LIVING WATER CENTER - MAKUTI KAWE JUMAPILI YA LEO

Posted by : Unknown on : Sunday, April 13, 2014 0 comments
Unknown
Mwimbaji Chengula akiimba wimbo wa Mungu wetu habadiliki  kwenye ibada ya jumapili ya leo katika kanisa la Living Water Center -  Makuti Kawe leo
Ibada hiyo ilikua pia na tendo la kuwatunukia vyeti wanafunzi waliomaliza kozi ya Life Transforming.

No comments:

Leave a Reply