Latest News


More

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER - MAKUTI KAWE JUMAPILI YA LEO

Posted by : Unknown on : Sunday, April 13, 2014 0 comments
Unknown
Jumapili ya leo imefanyika ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center – Makuti Kawe

Ibada hiyo imeongozwa na mwalimu Lilian Ndegi na kuhudhuriwa na mamia ya Wakristo na mwimbaji wa nyimbo za injili Mecy Chengula pamoja na  kikundi cha Praise and Worship cha kanisani hapo.
Pichani juu mwalimu Lilian Ndegi akifundisha kwenye ibada hiyo jumapili ya leo

No comments:

Leave a Reply