
Wageni mbalimbali wakiwapongeza maharusi

Maharusi wakiwapungia wageni waalikwa wakati wakiingia ukumbini

Maharusi wakijiandaa kukata keki ya ukumbusho wa harusi yao.Hakika ilikua ni keki nzuri sana.Big up kwa aliyeiandaa keki hii

wageni waalikwa wakiserebuka katika sherehe ya Bwana na Bi Zakaria Mzige

Masharusi wakicheza muziki na wageni waalikwa.Hakika ilikua ni furaha kubwa kwao
Maharusi wakijiandaa kukata keki ya ukumbusho wa harusi yao

Mdau wa blog hii na my wife wake nao walikuwepo kuwapongeza maharusi hao.Pichani wakifanya cheers kuwatakia kila la heri na maisha yao mapya ya ndoa waliyoyaanza