Latest News


More

harusi

Posted by : Unknown on : Thursday, June 14, 2012 0 comments
Unknown
Saved under : ,
Nani kakwambia harusi mpaka mpande magari ya kifahari kama Prado,  Merecedes Benz au BMW?
Cheki wenzetu kwa raha zao tena bwana harusi ndio anamwendesha bi harusi na nyuma ni wapambe nao kwa raha zao wanadunda kwenda kula bata ukumbini.Usiulize ukumbi nao ulikuwa wapi.
Saved under : ,

No comments:

Leave a Reply