Album hiyo anayotarajia kuizindua inakwenda kwa jina la "Tumaini lipo"
Katika tamasha hilo hakuna kiingilio na litasindikizwa na waimbaji mbalimbali wa injili kama vile Christina Shusho, Miriam Ikomba, Neema Jekonia, Upendo Miligo, Victor aron, Hosana Gospel Singers , Jerusalem Choir na El - Shadai Gospel Singers na wengine wengi
Mwimbaji Neema Jekonia mmojawapo wa waimbaji watakaomsindikiza Elias solomon
Mwimbaji Christina Shusho naye mmojawapo wa waimbaji watakaomsindikiza Elias Solomon
WATU WOTE MNAKARIBISHWA!!
No comments: