Maonyesho hayo yaliyofunguliwa na mfalme Mswati wa Swaziland yanatarajiwa kufungwa na waziri mkuuMheshimiwa Minego Pinda
Watu wakiwa kwenye foleni kukata tiket za kuingia kwenye maonyesho hayo
Evelyn Kichila akiwa kwenye shamba la Magereza ambalo lilikuwa na mboga mbalimbali zilizopandwa kisasa na kumea vizuri
Watu wengi wakiwa kwenye maonyesho hayo
No comments: