Mchungaji huyo alikua akihubiri katika ibada ya jumapili katika Usharika wa K.K.K.T - Mwenge na kusisitiza kama ili ubarikiwe inabidi umtolee Mungu sadaka kamili na kwa uaminifu
Mchungaji huyo ambaye yuko masomoni jijini Dar es salaam ni mchungaji wa Dayosisi ya Kusini ya Mashariki ya ziwa Victoria ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T)
Mchungaji Kiula akiwa madhabahuni na Parish worker wa Usharika wa Mwenge Suzan Mwimbi ambaye ndiye aliyekuwa anasaidiana nae kwenye ibada hiyo
Waumini mbalimbali wakiwa kwenye ibada hiyo ya jumapili
Mzee Mushi (mbele aliyevaa shati jeupe) na mzee mama Chacha akiwa nyuma yake wakiwa kwenye ibada hiyo ya jumapili
No comments: