Mamia ya watu wakiwa kwenye ibada ya kuaga mwili wa marehemu kweye katina la K.K.K.T Usharika wa Mwenge siku ya jumamosi
Mzee Benedicti Mushi (ambaye pia ni mzee wa kanisa wa Usharika wa Mwenge) akiwa na ndugu zake kwenye ibada hiyo.Mzee Mushi ni mmojawapo wa watoto wa marehemu mama Magdalena Mushi
Watu wengi walihudhuria ibada hiyo kama wanavyoonekana katika picha juu na chini
Viongozi mbalimbali wa kanisa walikuwepo pia.Wa pili kutoka kushoto ni mkuu wa jimbo ka Kaskazini la K.K.K.T Mchungaji Anta Muro.Wa nne kutoka kushoto ni Naibu katibu mkuu utawala wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani mchungaji Kadiva
No comments: