Sheikh akimwongoza Bwana Rahim kwenye ibada hiyo ya ndoa
Waumini wakishukuru mara baada ya tendo la kufunga ndoa kumalizika
Nyumbani kwa bi harusi Bi Sakina ilikua ni nderemo na shamrashamra za kila aina
Bwana harusi na ndugu na rafiki zake wakiwasili nyumbani kwa bi harusi mara baada ya kufunga ndoa msikitini
Watu walikua ni wengi kweli kweli nyumbani kwa bi Sakina
Bi Sakina akisalimiana na bwana harusi bwana Rahim mara baada ya kuwasili nyumbani kwao
Bwana harusi akiwa na bi harusi (hapa ni tayari wameshakuwa mume na mke)
No comments: