Ndugu na marafiki wa bwana Rahim wakipata chai katika hotel ya Food Master maeneo ya Segera tayari kuelekea Muheza kwenye ndoa
Dada yake Rahim akiagana na ndugu zake maeneo ya Segera
Ndugu na marafiki wakiwa tayari kuelekea eneo la kufunga ndoa
Ndugu na marafiki wakisubiri muda wa kuelekea nyumbani kwa bi harusi Sakina Mohamed tayari kufunga ndoa
No comments: