Bi Sakina Mohamed alifanyiwa sherehe kubwa na wazazi wake ya kumwaga (send off) katika ukumbi wa Kuala lumpur ulioko Sinza Dsm.Sherehe hiyo ya kufana ilihudhuriwa na watu wengi wakiwa ni pamoja na wndugu na jamaa wa bwana harusi mtarajiwa Bwana Rahim Ngovi.Bi harusi mtarajiwa ni mwenyeji wa Muheza wakati bwana harusi mtarajiwa ni mwenyeji wa Same mKoani Kilianjaro
Meza kuu ya wazazi wa bwana harusi mtarajiwa bwana Rahim Ngovi
Bi Sakina na mpambe wake wakiingia kwenye ukumbi wa sherehe hiyo.Hakika walipendeza sana
Meza kuu ya wazazi wa bi Sakina wakiwa kwenye sherehe hiyo
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya send off hiyo akiwashukuru wageni waliohudhuria na kuwakaribisha kwenye sherehe hiyo ya send off.Nyuma ni baadhi ya wanakamati wa kamati ya maandalizi
Mama mzaa chema akitoa nasaha kwa mwanae bi Sakina
Bi Sakina akiwa na mpambe wake high table
Sakina akimtambua bwana harusi mtarajiwa ndugu Rahim Ngovi
Sakina akiwa na la aziz wake bwana harusi mtarajiwa Rahim Ngovi na mpambe wake Rahim ndugu Peter Mkasimongwa na mpambe wa Sakina mara baada ya kumtambulisha kwa wageni waliohudhuria sherehe yake
Familia ya Bwana harusi mtarajiwa wakiwa kwenye picha ya pamoja na Sakina na mpambe wake
Wazazi wa Sakina wakiwa na Sakina na mpambe wake kwenye picha ya pamoja
Familia ya Sakina ikiwa kwenye picha ya pamoja.Mbele ni baba mlezi wa Sakina, mama yake , Sakina na mpambe wake
No comments: