Tamasha la matumaini lililokua likisubiriwa kwa hamu kubwa hatimaye jana lilifanyika kwa mafanikio makubwa
Tamasha hilo ambalo lilifunguliwa na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Kikwete na kuhudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Dar na vitongoji vyake pamoja na viongozi mbalimbali.
Pamoja na kuwepo na waimbaji mablimbali wa nyimbo za injili na bongo fleva pia kulifanyika mpambano wa soka kati ya wabunge mashabiki wa timu ya Yanga na wabunge mashabiki wa timu ya Simba ambapo Simba ililala kwa 3-2 ka penalti
Waimbaji wa injili Ambwene Mwasongwe (kulia) na Edson (kushoto) wakiimba kwa pamoja kwenye tamasha la matumaini
Rais Kikwete akitia saini mpira uliotumika kwenye mechi ya Simba na Yanga jana
Rais Kikwete akikagua timu ya Yanga
Pichani rais Kikwete akikagua timu ya Simba
Mgeni rasmi rais Kikwete akiwa na kamati nzima iliyoratibu tamasha la matumaini kwenye uwanja wa taifa jana
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: