Latest News


More

TUKUMBUKE KUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO

Posted by : Unknown on : Monday, July 1, 2013 0 comments
Unknown
 Mchungaji Kaanasia Msangi wa Usharika wa K.K.K.T  - Mwenge aliwakumbusha waumini kukumbuka kumtolea Mungu shukrani kwa mambo mengi anayotutendea
Mchungaji Kaanasia alisema hayo katika ibada ya jumapili katika Usharika wa Mwenge ambapo Bwana Safari Ngurei muumini wa usharika huo alikua anamtolea Mungu shukrani ya pekee kwa mambo mengi ambayo Mungu alimfanyia

 Mchungaji Kanasia alisema Bwana Safari alikua anamshukuru Mungu kwa kumponya katika ajali mbaya ya gari
 Bwana Safari alisindikizwa na baadhi ya waumini mbalimbali wa jumuiya yake akiwepo baba na mama yake pamoja na Katibu wa Usharika huo mzee Kombe

 Mzee Kombe (katibu wa baraza- Usharika wa Mwenge) akiwa anamsindikiza msharika mwenzake kutoa shukrani yake ya pekee
Mchungaji Kaanasia akiwapa mikono bwana Safari Ngurei na wazazi wake baada ya kufanya nao maombi

No comments:

Leave a Reply