Latest News


More

Waumini wamfukuza Mchungaji wao

Posted by : Unknown on : Wednesday, July 24, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :

Waumini wa kanisa la Kamunya Babtist lililopo eneo la Mukurwe - Inn wamemfukuza mchungaji wao na kufunga kanisa lao kwa kufuli.

Baadhi ya waumini wa kanisa la Kanya Baptist Ichamara, walichukua hatua hivyo wakimlaumu mchungaji wao Muriithi Mbute kwamba hajawaletea maendeleo pia anawaongoza kwa njia ambayo haifai.
Kutokana mtafaruku huo kanisani humo kundi la waumini wanaomuunga mkono mchungaji Mbute alifanya ibada nje ya lango la kanisa kabla ya polisi kuwasili mahali hapo

Wapinzani wa mchungaji huyo waliweka mabango ya kumlaumu wao kwa vitendo anavyowafanyia

No comments:

Leave a Reply