USHIRIKINA WALETA KASHESHE KONDOA
Posted by :
Unknown
on :
Thursday, August 22, 2013
0 comments
Ushirikina wasababisha familia kuomba kibali kuzuia barabara
Kondoa:
Hali isiyo ya kawaida imejitokeza kijiji cha Simba Maziwani, wilayani Chemba, Mkoa wa Dodoma, huku ikiomba kibali cha kulinda nyumba yao ili watu wasipite kwenye njia iliyopo karibu.
Mmiliki wa familia hiyo, Kahalifa Yusuf alisema amekuwa akisumbuliwa usiku bila kujua anayemsumbua na kwamba , akiamka asubuhi hukuta vikaratasi vimezagaa kwenye nyumba yake
Yusuf alisema hali hiyo imemsababisha kupata hofu kuhusu usalama wake na kwamba ameamua kwenda ofisi ya serikali ya kijiji kuomba kibali cha kuzuia watu kupita njia iliyopo karibu na nyumba yake
Saved under :
Neno la leo
No comments: