Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

JE WAJUA NI NJIA GANI NZURI YA KUSOMA BIBLIA?

Posted by : Unknown on : Tuesday, September 24, 2013 0 comments
Unknown
Saved under :

Swali: "Ni njia gani nzuri ya kusoma Bibilia?"
Jibu: Kupata maana ya maandiko in mojawapo la kazi muimu sana mshirika ako nayo katika maisha haya. Mungu hatwambii kwamba lazima tusome Bibilia. Lazima tuichunguze na tuweze kuilezea vizuri (2 Timotheo 2:15). Kuisoma Bibilia ni jambo gumu. Kuyapitia juu juu maandiko wakati mwingine waweza kuleta mwelekeo mbaya. Kwa hivyo, ni muimu kuelewa mambo makuu kwa kupata maana kamili ya maandiko.
Kwanza, mwanafunzi wa Bibilia lazima aombe na kumhulizia Roho Mtakatifu kumpa uwezo wa kuelewa, kwa maana hiyo ndiyo kazi yake. “Lakini yeye atakpokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye keweli yote; kwa maana atanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote akatakayoyasikia atayanena, na mambo yajayo atawapasha habari yake” (Yohana 16:13). Kama vile Roho Mtakatifu aliwaongoza wanafunzi wa Yesu kuandika Agano Jipya, vilevile atatuongoza kuyaelewa maandiko. Kumbuka, Bibilia ni kitabu cha mungu, na yatupasa kumuuliza kinamaanisha nini. Kama wewe in Mkristo, mwandishi wa Bibilia-Roho Mtakatifu- anakaa ndani yako, na anataka uelewe chenye alikiandika.
Pili, hatustahili kuing’oa aya kutoka kwa maandiko mbali na zile zinazo izunguka na ujaribu kupata maana ya hiyo aya nche ya mkadhata. Kila mara lazima tusome aya zinazoizunguka na milanog ili tujue maana. Maandiko yote yatoka kwa Mungu (2 Timotheo 3:16; 2 Petero 1:21), Mungu aliwatumia watu kuandika. Hawa watu walikuwa na maudhui katika akili, lengo la kuandika, na hali fulani walikuwa wakiitatua. Lazima tusome historia ya kitabu cha Bibilia tunachokichunguza, ili tupate, nani alikiandika kitabu, aliwaandikia nani, na ni kwa nini alikiandika, kiliandikwa lini, na ni kwa sababu gani kiliandikwa. Pia lazima tuache maandiko yajinenee yenyewe. Wakati mwingine watu wataweka maana yao kwa maneno ili wapate elezo wanalolitaka.
Tatu, tusijaribu kujitegemea wakati tunaposoma Bibilia. Ni ujeuri tunapofikiri hatuwezi pata kuyaelewa kitu chochote kutoka kwa kazi ya wengine waliyoisoma Bibilia mbele yetu. Watu wengine wanaisoma Bibilia na dhana kuwa Roho Mtakatifu amewapa watu karama ya roho mtakatifu kwa mwili wa Kristo. Mojawapo ya karama hizi ni ile ya ualimu (Waefeso 4:11-12); 1 Wakorintho 12:28). Hawa walimu wamepeanwa na Mungu ili wazaidie kuyaelewa maandiko na kuyatii. Ni kitu cha busara kila mara kuichunguza Bibilia na Wakristo wengine, mkupatiana jukumu la kuielewa na kuutumia ukweli wa neno la Mungu.
Kwa mukhutasari, ni njia ipi bora ya kuisoma Bibilia? Kwanza, kupitia maombi na unyenyekevu, lazima tumtegemee Roho Mtaktifu utupe uwezo wa kuelewa. Pili, lazima tuisome katika mkudhata wa ujumbe, tukitambua kwamba Bibilia yajieleza. Tatu, lazima tuheshimu juhudi za Wakristo wengine, waliopita na waliomo, wenye wamejaribu kuisoma Bibilia. Kumbuka, Mungu ndiye mwandishi wa Bibilia na anataka tuielewe.

No comments:

Leave a Reply