Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

TAG HAMUGAMBE KUWEKA WAKFU ALBUM YAO JUMAPILI HII HUKO BUKOBA

Posted by : Unknown on : Wednesday, September 25, 2013 0 comments
Unknown
Kikundi cha T.AG HAMUGAMBE (pichani juu) cha Bukoba mjini Bwana amewawezesha kutoa album yao mpya ya nyimbo za kumsifu na kumwabudu Mungu.




Akizungumza na mtandao huu mwenyekiti wa kikundi hiki na mkurugenzi wa vijana wa kanisa hilo ndugu John Mmasi alisema Mungu amewawezesha kurekodi album mpya yenye jina “WEWE NDIWE MUNGU”.
Ndugu Mmasi anasema album hiyo yenye mafundisho mazuri ya Mungu na upako wa kipekee bado hawajaanza kusambaza album yao hiyo na wako kwenye mchakato wa kuanza kuisambaza.
Ndugu Mmasi anasema “watu wajiandae kupokea album hii kwani ina upako wa kipekee” na punde tu wasikiapo album hiyo kwa jina hilo wawaunge mkono kwa kuinunua ili injili ya bwana iendelee kusonga mbele


Ndugu Mmasi anasema kuwa wamepanga uzinduzi wa album hiyo kufanyika tarehe 29/09/2013 katika ibada maalum ya kusifu na kuabudu itakayofanyika kuanzia saa nne kamili asubuhi mpaka saa nane mchana .
Mahali ni katika kanisa la TAG Hamugembe , Bukoba mjini

Lengo kubwa likiwa ni kuweka wakfu CD yao hiyo ya nyimbo za kusifu na kuabudu inayoitwa “WEWE NDIWE MUNGU”

Ndugu Mmasi anasema pesa zitakazopatikana zitatumika katika kuchangia ujenzi wa kanisa lao kwa maana ya upanuzi.
Pia tarehe 03, novemba 2013 watafanya tamasha kubwa la uzinduzi wa album hiyo katika viwanja vya mpira Kaitaba , Bukoba mjini kuanzia saa saba mchana anasema ndugu Mmasi


“MUNGU AWABARIKI”
Kwa mawasiliano na kikundi hiki wasiliana na mwenyekiti wao kwa :
John Mmasi - Mwenye kiti wa kikundi na mkurugenzi wa idara ya vijana
Simu ya mkononi: 0752 - 458912
Barua pepe: taghamugembe2013@yahoo.com

No comments:

Leave a Reply