Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

JE NI NINI ISHARA YA NYAKATI ZA MWISHO?

Posted by : Unknown on : Wednesday, November 6, 2013 0 comments
Unknown

Swali: "Ni ishara gani za nyakati za mwisho?"
Jibu: Mathayo 24:5-8 inatupa hoja muimu sana, kwa hivyo tunaweza gundua njia tutakayo tatua swala la nyakati za mwisho, “Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo, nao watawadanganya wengi. Nanyi mtasikia habari za vita na matetesi ya vita; angalieni, msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado. Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme kutakuwa na njaa, na matetemeko ya nchi mahali mahali.” Kutaongezeka na Masia wa uongo, kutaongezeka na viata, njaa, mapigo, na majanga- hizi ndizo ishara za nyakati za mwisho. Katika ukurasa huu, ingawa tumepewa onyo: hatustahili kudanganywa, kwa sababu matukio hayo ni ishara ya mwanzo wa machungu; mwisho bado utakuja.
Wafafanusi wengine wa Bibilia huwa wanaashiria kila tetemeko, kila mchafuko wowote wa kisiasa, na kila ufamishi wowote kwa Israeli kama ishara mathubuti ya nyakati za mwisho zikikaribia. Bali matukio yanaweza ashiria nyakati za mwisho, hizo si ishara kamili kwamba nyakati za mwisho zimekaribia. Mtume Paulo alionya kuwa katika siku za mwisho kutaongezeka na mafundisho ya uongo. “Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani” (1 Timotheo 4:1). Siku za mwisho zimeelezewa kuwa kama, “nyakati za kuogofya” kwa sababu ya kuongezeka kwa maovu kwa mwanadamu na watu wanaoendelea “kukataa ukweli” (2 Timotheo 3:1-9; angalia pia 2 Wathesalonike 2:3).
Ishara zingine ziwezekanazo ni, ujenzi wa hekalu ya Kiyahudi katika Yerusalemu, ongezeko la uadui kwa taifa la Israeli, na mwelekeo wa kuwa na serikali moja ulimwenguni. Ishara kuu ya nyakati za mwisho, ni taifa la Israeli. Mwaka wa 1948, Israeli ilitambulika kama taifa huru linaojisimamia, kwa mara ya kwanza tangu A.D 70 (Baada ya Yesu kuzaliwa), na Ezekieli alitabiri kuwa kutakuwa na uhuisho wa kimwili na kiroho kwa Israeli (Ezekieli 37). Kuwa na Israeli kama taifa linalojisimamia katika ardhi yao ni muimu kwa ufunuo wa nabii wa nyakati za mwisho kwa sababu ya Israeli itatawala nyakati za mwisho (Danieli 10:14; 11:41; Ufunuo Wa Yohana 11:8)
Ishara hizi zikiwa katika mawazo, tutakua na hekima ya kutambua na kwa kungojea nyakati za mwisho. Kamwe tusifafanue matukio yoyote kuwa ishara kamili za kufika kwa nyakati za mwisho. Mungu ametupa habari ya kutosha ambayo tunaweza kujitayarisha, na hiyo ndiyo tumeitiwa tuwe.

No comments:

Leave a Reply