Latest News


More

LIGHTNES ABATIZWA KATIKA KANISA LA K.K.K.T - USHARIKA WA MWENGE

Posted by : Unknown on : Monday, November 25, 2013 0 comments
Unknown

 Katika ibada iliyofanyika jumapili hii katika Usharika wa Mwenge kulikuwepo na tendo la ubatizo wa mtu mmoja
Lightnes alibatizwa na kuwa mkristo kamili.Tendo hilo la kumbatiza lilifanyika katika ibada ya pili ambayo pia ilikuwa na ndoa za pamoja
Pichani juu Lightness akiwa mbele ya madhabahu tayari kwa liturjia ya ubatizo.Aliyeko pembeni yake ni mzee wa kanisa mzee Kihunrwa ambaye alikua anamwongoza
 Lightnes akibatizwa .Pembeni yake ni parish worker wa Usharika wa Mwenge Suzan Mwimbe





 Mchungaji wa Usharika wa Mwenge mchungaji Kaanasia Msangi akimtambulisha rasmi kama mkristo kamili
 Mzee wa usharika mzee Kihunrwa akimpokea rasmi Lightnes kama mkristo kamili jana

No comments:

Leave a Reply