Latest News


More

KUMSHUKURU MUNGU KUNAONGEZA BARAKA KWA WAKRISTO

Posted by : Unknown on : Tuesday, December 10, 2013 0 comments
Unknown

 Kumtolea Mungu shukrwani ni baraka kwa Mkristo.Akizungumza wakati wa kupokea shukurani katika ibada ya jumapili katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Kijitonyama mchungaji Mitili (pichani chini) alisema Mungu anafurahishwa sana na watu wanaokumbuka kumtolea shukrani
Pichani juu wakristo waliomtolea Mungu shukurani jumapili iliyopita




 Mchungaji Mitili akitoa baraka kwa wakristo waliotoa shukurani

No comments:

Leave a Reply