Latest News


More

MCHUNGAJI PROSPER KINYAA AKARIBISHWA RASMI KWENYE HUDUMA KATIKA USHARIKA WA KIJITONYAMA

Posted by : Unknown on : Tuesday, December 10, 2013 0 comments
Unknown


 Mchungaji Prosper Kinyaa jumapili iliyopita alikaribishwa rasmi katika huduma ya kichungaji katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Kijitonyama.Pichani juu Mchungaji Mitili wa Usharika wa Msasani akimtambulisha mchungaji Prosper alisema jumapili hii ni mara ya kwanza kwa mchungaji Prosper kusimama mimbarani kama mchungaji
Mchungaji prosper pamoja na wachungaji wengine walibarikiwa rasmi kwenye ibada iliyofanyika kwenye Usharika wa Azania Front
Katika ibada hiyo mchungaji Prosper aliongozana na ndugu jamaa na marafiki zake wakiwepo wazazi wake baba na mama
 Pichani juu mchungaji kiongozi wa Usharika wa Kijitonyama mchungaji Kadiva akiwatambulisha wazazi wa mchungaji Prosper

 Ndugu wa mchungaji Prosper wakiimba wimbo kwa pamoja waliimba wimbo no 270 kwenye kitabu cha Tumwabudu Mungu kwa lugha ya kichaga

Kwaya ya Tumaini toka Arusha ikiimba kwenye ibada hiyo ya jumapili

No comments:

Leave a Reply