TRA SACCOS YAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA
Chama cha akiba na mikopo cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA SACCOS) mwishoni mwa wiki iliyopita kilifanya mkutano wak e mkuu wa mwaka .
Mkutano huo ulifanyika katika chuo cha kodi Mikocheni (ITA) na kuhudhuriwa na wanachama wa mkoa wa Dar es salaam na wawakilishi toka kioa yote ya Tanzania
Katika mkutano huo mkuu ulihudhuriwa pia na viongozi waandamizi wa jumuiya ya vyama vya Ushirika Tanzania wilaya ya Ilala
Pichani juu viongozi wa TRA Saccos wakiwa na viongozi wa ushirika wa Wilaya ya Ilala wakiongoza mkutano huo mkuu
Kutoka kushoto ni mwenyekiti wa TRA Saccos ndugu Moses Bunango akifuatiwa na makamu mwenyekiti Alvera.Wanaofuatia wawili ni viongozi wa Ushirika wa wilaya ya Ilala na wa mwisho ni mwakilishi wa Menejimenti ya TRA
Kabla ya Mkutano makamui mwenyekiti alifungua kwa sala.Pichani juu na chini wajumbe wa mkutano mkuu wakiwa wanasali kabla ya kuanza mkutano wao mkuu
Mosses Bunango (mwenyekiti wa TRA Saccos) akiendesha mkutano mkuu
Peter Mayala mwenyekiti wa kamati ya mikopo akifuatilia mkutano huo
Watendaji wakuu wa TRA Saccos wakiwa kwenye mkutano huo
Mwenyekiti bwana Bunango akifurahia jambo na mmoja wa wajumbe wa bodi ya TRA SACCOS
Makamu mwenyekiti aliyekua anamaliza muda wake akifafanua jambo
Wajumbe wa mkutano mkuu wakifuatilia mkutano wao wa mwaka
Wanachama walipata pia nafasi ya kuuliza maswali mbalimbali kuhusu Saccos yao.Pichani juu ni ndugu Mnyitafu akiuliza swali
No comments: