Latest News


More

SIRI YA KUMTOLEA MUNGU

Posted by : Unknown on : Sunday, February 2, 2014 0 comments
Unknown


SIRI YA KUMTOLEA MUNGU
Siri ni kitu/jambo lililofichila ambalo si watu wengiu wanalolijua au wanaweza kujua.
Hivyo inakubidi ufanye kazi ya ziada kuijua.Akihubiri katika ibada ya jumapili hii katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Mwenge mwinjilist Jonas (pichani juu) alisema kuna mambo muhimu matatu ya kuangalia katika kumtolea Mungu
1.Kwa nini tunatoa sadaka
1 Nyakati 29:11-17
Utoaji ni ile hali ya kutambua vitu vyote vyatoka kwa Mungu
Kwa mantiki hiyo kama vyote ni vya Mungu basi hatuna budi kumtolea yeye kama njia ya kuonyesha shukrwani kwake
Mwanzo 28:20-22
Yakobo kwa kutambua ukuu wa Mungu kwamba ndie mwenye vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana aliweka nadhiri ya kumtolea Mungu shukrwani mara kwa mara
Hagai 2:8 (Fedha na dhahabu ni mali ya Mungu)
Kutoka 25: 1-9
Kutoka 25:2-3

2.Mungu kwa nini amaruhusu tutoe sadaka
Mungu anaruhusu  utoe sadaka ili uwepo wake uonekane au ili akae na Yule mtoaji wa sadaka
3.Sifa ya mtoaji wa sadaka
Mungu  anataka watu wote wamtolee sadaka
Lakini si wote wana sifa za kutoa sadaka
Mithali 15:8
Mathayo 5: 23-24

 Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Mwenge akionyesha kalenda  iliyotengenezwa na Usharika yenye matukio mbalimbali yaliyotokea usharikani kwa mwaka 2013

Ibada hiyo iliongozwa na kiongozi wa Usharika wa Mwenge Mchungaji Kaanasia Msangi na mahubiri yaliongozwa na mwinjilisti Jonas

No comments:

Leave a Reply