Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani kanisa la K.K.K.T sharika zote ibada ya jana jumapili iliongozwa na wakina mama.
Pichani juu ni akina mama walioongoza ibada hiyo kwenye Usharika wa Mwenge.Kutoka kushoto ni mama Matogolwa alioongoza liturjia na kulia ni mama Kihundwa ambaye aliongoza mahubiri
Wakina mama walioongoza ibada wakiwa nje mara baada ya ibada hiyo.Aliyesimama pembeni kushoto ni mwenyekiti wa akina mama Usharika wa Mwenge Dr Eliwaza Kaaya
No comments: