Mchungaji Simon Fue amepangiwa kufanya huduma katika usharika wa K.K.K.T - Mwenge.
Pichani juu mchungaji Fue akijitambulisha katika Usharika huo ambapo atakua kwa muda wakati akimalizia masomo
yake katika chuo cha Ustawi wa jamii
Mchungajiu Fue anafanya huduma ya ushauri wa ndoa, mambo ya
familia, ukimwi n.k
No comments: