Wakristo wa Usharika wa Mwenge jumapili ya leo wameshiriki chakula cha bwana katika ibada zote tatu zilizofanyika leo katika usharika huo
Kawaida huwa ibada ya Chakula cha Bwana hufanyika mara moja kila mwezi.Pichani juu mchungaji Mchomvu na mchungaji Kaanasia Msangi wakiwashirikisha waumini chakula cha bwana
Waumini wakishiriki misa ya chakula cha bwana
No comments: