Latest News


More

WAKRISTO WAMTOLEA MUNGU SHUKURANI YA PEKEE USHARIKA WA MWENGE

Posted by : Unknown on : Sunday, March 23, 2014 0 comments
Unknown
Saved under : ,
 Washarika mbalimbali katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Mwenge jumapili ya leo wamemtolea Mungu sadaka ya shukurani katika ibada ya pili iliyoanza saa 1'30 asubuhi leo
Pichani juu mmojawapo wa waumini waliomtolea Mungu sadaka ya shukurani akiwa madhabahuni na mchungaji Kaanasia Msangi
 Mchungaji Msangi na mchungaji Mchomvu wakiongoza maombi kwa waliomtolea Mungu sadaka ya shukurani
 Waumini waliomtolea Mungu sadaka ya shukurani pichani juu na chini wakiwa na ndugu na marafiki waliowasindikiza kwenye kumtolea Mungu sadaka ya shukrwani


No comments:

Leave a Reply