Latest News


More

JITWIKE MSALABA WAKO UNIFUATE

Posted by : Unknown on : Friday, April 18, 2014 0 comments
Unknown
 Leo katika ibada ya ijumaa kuu katika kanisa la K.K.K.T  Usharika wa Mwenge imefanyika ibada ya kukumbuka siku bwana wetu Yesu Kristo alivyokufa ili sisi Wakristo tupate ukombozi
Ibada hiyo iliambatana na igizo lililoandaliwa na kikundi cha akina mama wa Usharika huo.Pichani juu ni Parish Worker wa Usharika huo Suzan Mwimbe akiongoza igizo hilo ambalo lilikua na ujumbe usemao jitwike msalaba wako unifuate
Pichani juu wakina mama wakiigiza katika igizo hilo kanisani Mwenge

No comments:

Leave a Reply