Latest News


More

IBADA YA IJUMAA KUU KATIKA KANISA LA K.K.K.T - USHARIKA WA MWENGE

Posted by : Unknown on : Friday, April 18, 2014 0 comments
Unknown
 
 Leo katika Usharika wa Mwenge wa kanisa la K.K.K.T imefanyika ibada ya ijumaa kuu ambayo imeongozwa na Mwinjilisti wa Usharika huo mwinjilisti Mwigune
Leo kwa wakristo wote duniani ni siku ya kukumbuka siku ambayo Mwokozi wetu Yesu Kristo alivyosulubiwa na kuuawa miaka zaidi ya 2000 iliyopita

Pichani juu na chini ni waumini wa Usharika wa Mwenge wakitafakari maisha yao ya Kristo na kufa kwa bwana wetu Yesu Kristo kwenye ibada ya ijumaa kuu leo mchana

No comments:

Leave a Reply