Latest News


More

MOTO WATEKETEZA SOKO LA MITUMBA LA KARUME

Posted by : Unknown on : Thursday, June 12, 2014 0 comments
Unknown
Saved under :
Moto mkubwa usiku wa kuamkia leo umeteketeza soko maarufu la mitumba la Karume ambalo liko karibu na uwanja wa mpira wa Karume
Moto huo ambao ulianza kidogo kidogo umeteketeza karibu sehemu kubwa ya soko hilo.Jitihada za kuuzima moto huo hazikuweza kufua dafu mbele ya moto huo jinsi ulivyokuwa unawaka

No comments:

Leave a Reply