Wakristo wa Usharika wa Mwenge wa kanisa la K.K.K.T jumapili iliyopita walishiriki meza ya bwana (chakula cha bwana) katika ibada zote mbili.
Katika ibada hiyo pamoja na mambo mengine kulukua na mambo makuu yafuatayo
1.Kufunga ndoa za pamoja.Ndoa nane zilifungwa kwa pamoja
2.Ubatizo wa mtu mmoja
3.Shukrwani ya pekee
3.Sherehe ya kuwapongeza maharusi ambayo ilifanyika mara baada ya ibada katika viwanja vya kanisa
Pichani juu na chini waumini wakishiriki meza ya bwana.
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: