Latest News


More

ZIJUE FAIDA ZA KUMTEGEMEA MUNGU - MWINJILISTI ALEX

Posted by : Unknown on : Wednesday, July 2, 2014 0 comments
Unknown
Saved under :

 

Mtumishi Alex
Hakuna aliyemtegemea Mungu akapata hasara, ukimtegemea Mungu kuna faida, hebu angalia hizi faida za kumtegemea Mungu:- 

(1)Bwana atakupa haja ya moyo wako->ZABURI 37:4. 

(2)Kila ulitendalo litafanikiwa->ZABURI 1:3, MITHALI 3:5-6. 

(3)Utakuwa na Amani->AYUBU 22:21. 

 (4)Mema yatakuijilia->AYUBU 22:21. 

(5)Utabarikiwa->YEREMIA 17:7, ZABURI 112:3.

 (6)Uzao wako utakuwa hodari->ZABURI 112:2. 

(7)Utamwona Mungu ktk maisha yako->YOHANA 14:21, MITHALI 8:17. 

 (8)Mungu anaweka ulinzi juu ya maisha yako->ZABURI 34:7, MITHALI 3:21-26.

 (9)Bwana atasikia kilio chako yaani maombi yako->ZABURI 34:15.

 Kumtegemea Mungu ndio Maisha ya ushindi kwa mkristo, 
 Mungu wetu ni yule yule jana, leo na hata milele, aliyotenda jana hata leo anatenda na atazidi kutenda.. Ishi katika faida hizi na Mungu akubariki. 

No comments:

Leave a Reply