Jumapili ya leo imefanyika ibada nzuri katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Mwenge ambayo imeongozwa na viongozi wa Usharika huo mchungaji Kaanasia Msangi na mwinjilisti Ane Mwigune
Pichani juu mchungaji Kaanasia Msangi akihubiri na chini ni baadhi ya waumini wakifuatilia mahubiri hayo jumapili ya leo
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: