Latest News


More

MCHUNGAJI KAGYA AONGOZA SEMINA - JUMUIYA YA MWENGE KIJIJINI KANISA LA K.K.K.T

Posted by : Unknown on : Sunday, August 3, 2014 0 comments
Unknown
 
Jumuiya ya Mwenge Kijijini ya kanisa la K.K.K.T - Usharika wa Mwenge leo jumapili wamefanya semina ya neno la Mungu kwa familia ya jumuiya hiyo.Semina hiyo imefanyika kwenye kituo cha Consolata kilichoko Bunju na mchungaji Kagya (pichani juu) ndiye alikua mkufunzi wa semina hiyo
 Mchungaji Kagya akisisitiza jambo kwenye semina hiyo ya wanafamilia wa jumuiya ya Mwenge Kijijini


Wanasemina wakipata soda mara baada ya semina hiyo ambayo ilikua ya siku moja

No comments:

Leave a Reply