Latest News


More

IBADA YA LEO KATIKA KANISA LA K.K.K.T - USHARIKA WA MWENGE

Posted by : Unknown on : Sunday, August 3, 2014 0 comments
Unknown
 Leo jumapili katika kanisa la K.K.K.T - Usharika wa Mwenge imefanyika ibada nzuri ambayo imeongozwa na mchungaji kiongozi wa Usharika huo mchungaji Kaanasia Msangi akisaidiana na mwinjilisti Mwigune wa Usharika
Katika ibada hiyo kwaya ya Vijana (ambayo jana jumamosi ilishinda uimbaji kanda ya Kaskazini) iliimba na kuonyehsa nyimbo ambazo waliziimba jana kwenye mashindano hayo ya uimbaji
Pichani juu mchungaji kiongozi na washarika wakifuatilia uimbaji huo
Waimbaji wa kwaya ya Vijana Usharika wa Mwenge wakiimba jumapili ya leo kanisani hapo.Kwaya hii ilichukua ushindi wa kwanza kwa kanda ya Kaskazini

No comments:

Leave a Reply