Watoto wana uelewa mkubwa wa kiteknoljia kuliko watu
wazima
Kulingana na utafiti uliofanywa na shirika la Ofcom, watoto
wenye umri wa miaka 6 wana uelewa mzuri zaidi wa teknolojia kuliko watu wenye
umri wa miaka 45. Ripoti hiyo inasema kuwa uelewa wa maswala ya kidijitali, huwa
mzuri zaidi kwa watoto wenye miaka 15 na kuanza kushuka miaka michache
baadaye.
Kwa taarifa hii na nyinginezo za teknolojia tazama hapa
No comments: