Latest News


More

TUKUMBUKE KUMSHUKURU MUNGU KWA MAMBO ANAYOTUTENDEA

Posted by : Unknown on : Sunday, August 17, 2014 0 comments
Unknown
 Familia ya Kimaro wa Kinondoni leo imemtolea Mungu shukrani kwa mambo makuu ambayo ameitendea familia hiyo.Akizungumza kwenye fellowship ya New Life in Christ (NLC) tawi la Kinondoni ambayo pamoja na mambo mengine ilikua na tendo la shukrani,  Bwana Gerald Kimaro amesema Mungu amemponya mama yake mzazi baada ya kuugua kwa muda mrefu na kufanyiwa operesheni ambayo hatimaye imempa uponyaji kabisa
Bwana Gerald akishuhudia ameshukuru wanajumuiya ya Kinondoni na wana NLC kwa ujumla kwa maombi yao ambayo yamewezesha kumponya mama yake
 Pichani juu na chini wanajumuiya ya fellowship ya Kinondoni pamoja na marafiki , ndugu jamaa na majirani wakiwa kwenye fellwoship hiyo leo jioni






No comments:

Leave a Reply