Katika uzinduzi huo uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi wa jiji la Dar na vitongoji vyake , mgeni rasmi alikua mheshimiwa Fredrick Sumaye (waziri mkuu mstaafu)
Pichani juu mwimbaji Rose Muhando akiimba jukwaani
Mheshimiwa Sumaye akizindua album hiyo siku hiyo
Pichani juu na chini ni maelfu ya wananchi waliohudhuria uzinduzi huo
Rose Muhando akiwajibika jukwaani
Mheshimiwa Sumaye akimpongeza Rose Muhando kwa uimbaji wake mzuri wa kumsifu Mungu
No comments: