Latest News


More

YAJUE MAJINA YA MUNGU ALIYE HAI

Posted by : Unknown on : Wednesday, August 13, 2014 0 comments
Unknown

Majina haya ya MUNGU pamoja na majina ya watu na maana zake yanapatikana katika kitabu kiitwacho NGUVU NYUMA YA JINA LAKO kilichoandalia na Mchungaji Peter Mitimingi wa huduma ya VHM.

 ili kukupata piga namba 0713 55 14 14

Jipatie nakala yako uweze kujua mengi kuhusiana na nguvu nyuma ya jina lako

1. ELOHIM
Mwanzo 1:1, Zaburi 19:1
Maana yake “Mungu” inarejea nguvu za Mungu na utukufu. 
2. ADONAI
Malaki 1:6
Maana yake “Bwana” inarejea ukuu wa Mungu. 


3. JEHOVAH--YAHWEH.....
Mwanzo 2:4
Ina rejea wokovu mtakatifu wa Mungu.


4. JEHOVAH-MACCADDESHEM
Kutoka 31:13
Maana yake "Bwana wa kutakasa " 


5. JEHOVAH-ROHI
Zaburi 23:1
Maana yake “bwana ndiye mchungaji wangu”


6. JEHOVAH-SHAMMAH
Ezekieli 48:35
Maana yake "Mungu aliye yupo" 


7. JEHOVAH-RAPHA
Kutoka15:26
Maana yake "Bwana mponyaji wetu" 


8. JEHOVAH-TSIDKENU
Jeremia 23:6
Maana yake "Bwana wa haki" 


9. JEHOVAH-JIREH
Mwanzo 22:13-14
Maana yake "Bwana atatupa" 


10. JEHOVAH-NISSI
Kutoka 17:15


No comments:

Leave a Reply