Jumapili iliyopita Dayosisi ya Mashariki na Pwani ya kanisa la K.K.K.T walifanya uchaguzi wa kuchagua wazee wa kanisa kwenye sharika na mitaa yao yote
Katika Usharika wa Mwenge kama sharika nyingine nao walifanya uchaguzi huo kwa kuwatambulisha wale wote waliopendekezwa kwenye mitaa yao
Pichani chini ni baadhi ya washarika waliopendekezwa na ambao walipigiwa kura jumapili iliyopita
No comments: