Jumapili iliyopita ilifanyika ibada nzuri sana katika kanisa la K.K.K.T - Usharika wa Mwenge ambayo iliongozwa na mchungaji kiongozi Kaanasaia Msangi (pichani juu) na mwinjilisti wa Usharika huo Mwinjilisti Mwigune
Ibada hiyo pamoja na mambo mengine ilikua ni maaluma kwa ajili ya Uchaguzi wa wazee wa kanisa
Waumini wakiwa kwenye ibada ya jumapili hii katika Usharika wa Mwenge
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: