Sikukuu ya Mikael na watoto imefanyika leo kwenye sharika mbalimbali za Dayosisi ya Mashariki na Pwani ambapo ibada zimeratibiwa na kuongozwa na watoto wa shule ya jumapili (Sunday School)
Katika Usharika wa Kinondoni ibada hiyo imeongozwa na mwanafunzi wa shule ya jumapili ambaye aliongoza liturjia akiongozwa na Parish Worker wa Usharika huo.
Mahubiri yaliongozwa na mwalimu wa shule ya jumapili
Pichani juu mmojawapo wa wanafunzi wa shule ya jumapili akisoma somo la kwanza
Wanafunzi wa shule ya jumapili wakiimba kwenye ibada jumapili ya leo
Watoto wa shule ya jumapili wakiwa kwenye ibada hiyo
Parish Worker akiwa na mtoto aliyeongoza liturjia kwenye ibada hiyo
Mtoto (aliyehudumu kama mzee wa kanisa) akisoma matangazo jumapili hiyo
Mmojawapo wa wajumbe wa kamati ya uinjilisti na mission akitoa neno la shukrani
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: