Leo katika Usharika wa Kinondoni wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T) Umefanyika ubatizo wa mtoto mdogo mmoja
Katika Ibada hiyo ambayo kwa kiasi kikubwa umeratibiwa na watoto ambapo leo ilikua ni sikukuu ya Mikael na watoto
Pichani juu mtoto huyo akibatizwa na mchungaji kiongozi wa Usharika huo
Kutoka kulia mdhamini wa mtoto Bwana Godilisten Lema , mkewe Godilisten Lema, na mama wa mtoto akifuatiwa na baba wa mtoto bwana Gerald Kimaro
Mtoto Josiah Kimaro akibatizwa jumapili ya leo
No comments: