Wanafunzi wa shule ya jumapili wametia fora katika kucheza ngonjera kanisani hapo jumapili ya jana
Katika ibada hiyo ambayo ilikua ni siku ya Mikael na watoto wanafunzi hao walishindana kucheza ngonjera ambazo zilikua maaluma kwa kueneza neno la Mungu
Pichani juu na chini wanafunzi hao wakisoma ngonjera ibadani hapo
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: