Latest News


More

WAZEE WA KANISA WAAGWA KWA KEKI KANISA LA K.K.K.T - USHARIKA WA MWENGE

Posted by : Unknown on : Monday, September 1, 2014 0 comments
Unknown

Jana katika kanisa la K.K.K.T - Usharika wa mwenge wazee wanaomaliza muda wao na wale waliosimikwa rasmi walipata fursa ya kukata keki na kulishana kama ishara ya kutakiana kila la kheri.

Katika tukio hilo lililofantyika katika ibada iliyokuwa moja wazee waliomaliza muda wao alilishana na wale walioingizwa kazini

 Pichani mzee Tumaini Kichila akimlisha mzee anayeingia kazini
 Mzee Lema akimlisha mzee mwenzake
 Mzee Beatrice Kileo akikatakata keki tayari kuwapa wazee kulishana

 Hii pia ni keki ambayo iliandaliwa na Umoja wa wakina mama wa Usharika wa Mwenge.Keki hii ilinadiwa kwa shilingi 200,000/=
 Mama aliyenunua keki hiyo akikabidhiwa na mwinjilisti wa Usharika Anna Mwigune
Baada ya Ibada wazee walipiga picha ya pamoja na viongozi wa Usharika
 Wazee waliomaliza muda wao na wale walioingia kazini wakiwa kwenye picha ya pamoja

Wazee wapya walioingizwa kazini wakiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Usharika wa Mwenge

No comments:

Leave a Reply