Leo katika Usharika wa Mwenge wa kanisa la K.K.K.T wameingizwa kazini wazee wapya waliochaguliwa wiki iliyopita kuongoza Usharika huo kwa kipindi cha miaka mine ijayo.Katika ibada hiyo pia imefanyika tendo la kukata keki kama ishara ya kutakiana kila la kheri kwa wazee wapya na wale wanaomaliza muda wao
Columnists
Afya Yako
- All post (163)
- Habari za Kidini (361)
- Kutoka Madhabahuni (193)
- Mahubiri (119)
- Maombi (11)
- Ndoa (88)
- Neno la leo (632)
No comments: