Written by Anonymous

HAPPY NEW YEAR 2015

by Anonymous / 06 Jan 2015

...

Written by Anonymous

MERY CHRISTMAS

by Anonymous / 25 Dec 2014

WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRISTMAS WE WISH U A MERY CHRIS...

Written by Anonymous

HAMUGEMBE PRAISE AND WORSHIP TEAM KUZINDUA ALBUM YAO MWEZI APRIL

by Anonymous / 31 Mar 2014

 Kikundi cha Hamugembe Praise and Worship Team cha mjini Bukoba  kinatarajia kuzindua album yao ya nyimbo za kusifu na kuabudu ...

Written by Anonymous

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2014

by Anonymous / 31 Dec 2013

Leo ndio siku ya mwisho kwa mwaka huu 2013 na masaa machache yajayo tutaingia mwaka ujao 2014.Mtandao huu unawatakia kila la kheri na ba...

Written by Anonymous

KWAYA KUU YA USHARIKA WA AZANIA FRONT NDIO MABINGWA WA UIMBAJI WA K.K.K.T – DMP

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Written by Anonymous

MASHINDANO YA UIMBAJI KWAYA KUU NGAZI YA DAYOSISI YA KANISA LA K.K.K.T (DMP) YAFANA USHARIKA WA MBEZI BEACH LEO

by Anonymous / 26 Oct 2013

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

KUTOKA MADHABAHUNI

IBADA KATIKA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI KAWE JUMAPILI HII

Jumapili hii ilifanyoka ibada nzuri katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe ambapo kiongozi wa kanisa hilo Mtume Onesmo Ndegi  (pichani juu) aliongoza na kuhubiri Pichani juu Mtume Onesmo Ndegi akimtambulisha ndugu wa m...

More KUTOKA MADHABAHUNI
More NENO LA LEO
More MAHUBIRI
More MAOMBI

HABARI ZA KIDINI

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA MAKONDA AZINDUA VITABU VYA INJILI KANISA LA LIVING WATER CENTER KAWE KAWE

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Paul Makonda jumapili hii alikua mgeni rasmi katika uzinduzi wa vitabu vya injili vya mwalimu Lilian Ndegi katika kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe Bwana Makonda (pichani juu) alimsh...

More HABARI ZA KIDINI

More HABARI ZA KIDINI

UTAJIEPUSHAJE NA UNENE KUPITA KIASI?

Posted by : Unknown on : Tuesday, February 10, 2015 0 comments
Unknown
Saved under :


Biblia inawatia watu moyo wawe ‘wenye kiasi katika mazoea.’ (1 Timotheo 3:2) Hilo linatia ndani mazoea yako ya kula. Kwa hiyo, mbona usijaribu kufanya mambo yafuatayo?
Sikiliza tumbo lako. Nilikuwa nikihesabu kalori, lakini sasa mimi huacha kula ninapohisi nimeshiba,” anasema Julia, mwenye umri wa miaka 19.
Epuka chakula kisicho na lishe bora. Nilipoacha kunywa soda, nilipunguza uzito kwa kilo tano baada ya mwezi mmoja tu!” anasema Peter, mwenye umri wa miaka 21.
Badili mazoea mabaya ya kula. Mimi hujaribu sana nisiongeze chakula,” anasema Erin, mwenye umri wa miaka 19.
Siri ya Kufanikiwa: Usikose kula hata mlo mmoja! Ukikosa, utahisi njaa na huenda ukashawishika kula chakula kingi.
Bila shaka watu fulani ambao hujiambia “Ninahitaji kupunguza uzito wangu” wana maoni yasiyofaa kuhusu mwili wao. Kwa kweli hawana tatizo lolote la kunenepa kupita kiasi. Hata hivyo, vipi ikiwa unahitaji kupunguza uzito? Ona jinsi msichana anayeitwa Catherine alivyofanikiwa.
“Nilipokuwa tineja, nilikuwa mnene kupita kiasi, jambo ambalo halikunipendeza kamwe. Nilihuzunishwa sana na jinsi nilivyoonekana na kuhisi!
“Mara kwa mara nilijaribu kupunguza uzito kwa kula vyakula maalumu, lakini baada ya muda nilinenepa tena. Mwishowe nilipokuwa na umri wa miaka 15 niliamua kubadili maisha yangu. Nilitaka kupunguza uzito kwa njia inayofaa—njia ambayo ningeweza kudumisha katika maisha yangu yote.
“Nilinunua kitabu kilichozungumzia kanuni za msingi za lishe bora na kufanya mazoezi, na nikaanza kutenda kulingana na yale niliyosoma katika kitabu hicho. Niliazimia kwamba hata nikiteleza katika jitihada zangu au nivunjike moyo, sitakata tamaa.
“Matokeo? Nilifaulu! Katika kipindi cha mwaka mmoja, nilipunguza kilo 27. Nimedumisha uzito huo kwa miaka miwili. Sikufikiri ningefaulu!
“Nafikiri nilifaulu kwa kuwa sikula tu chakula fulani maalumu bali pia nilibadili maisha yangu.”—Catherine, mwenye umri wa miaka 18.
(sOURCE: JW.ORG) 

No comments:

Leave a Reply