Latest News


More

MAHAFALI YA 11 YALIVYOFANA KANISA LA LIVING WATER CENTER MAKUTI - KAWE

Posted by : Unknown on : Tuesday, April 21, 2015 0 comments
Unknown
Saved under :
 Jumapili iliyopita yalifanyika mahafali ya 11 ya kozi ya "Life Transforming" katika kanisa la Living Water Makuti Kawe
Kozi hiyo ni ya 11 tangu ianze rasmi mwaka 2004 kanisani hapo
Mahafali hayo yalifanyika kwenye ibada ya jumapili ambayo iliongozwa na mkuu wa kanisa hilo Apostle Onesmo Ndegi (pichani juu) akisaidiwa na mwalimu Lilian Ndegi


Mhitimu akitoa ushuhuda kwenye mahafali hayo
Mhitimu akitoa ushuhuda kwenye mahafali hayo
Mkuu wa kanisa hilo Apostle Onesmo Ndegi akiimba kwa furaha kwenye ibada hiyo pamoja na watendaji wengine wa kanisa hilo


Mwalimu Lilian Ndegi akisema neno kwenye ibada hiyo


Wahitimu wakipokea vyeti vyao kwenye mahafali hayo toka kwa mgeni rasmi ambaye alikua mkuu wa kanisa hilo Apostle Onesmo Ndegi

Picha ya pamoja ya wahitimu na uongozi wa kanisa la Living Water Center - Makuti Kawe
(Picha kwa hisani ya gospel kitaa blog)

No comments:

Leave a Reply