Latest News


More

Posted by : Unknown on : Tuesday, August 16, 2011 0 comments
Unknown
Saved under : ,

Katika nchi ya Marekani nchi ambayo ndio kubwa zaidi duniani kwa maana ya uchumi, na hata nguvu ya kijeshi, kuna sehemu ambazo hata Wamarekani wenyewe wanatamani kuishi kutokana na vigezo kama upatikanaji wa kazi, shule na vyuo vizuri, usalama barabarani, utamaduni, na hata hali nzuri ya hewa

Ifuatayo ni orodha ya miji kumi mizuri ya kuishi katika nchi hiyo iliyoko Amerika ya Kaskazini

No.10 Chanhassen, Mn
Idadi ya watu: 23,000
Ukosefu wa kazi: 5.5%

No.9 Mukilteo, WA
Idadi ya watu: 20,300
Ukosefu wa kazi: 8.2%



No.8 - Middleton, WI
Idadi ya watu: 17,400

Ukosefu wa kazi: 5.1 %

(picha haikupatikana)



No.7 - Liberty, MO
Idadi ya watu: 29,100
Ukosefu wakazi: 7.6%

No.6 Hanover, NH
Idadi ya watu: 8,600
Ukosefu wa kazi: 4.4%
No.5 - Papillion - NE
Population: 18,900
Ukosefu wa kazi: 4.2%


No.4 - Leesburg, VA
Idadi ya watu: 42,600
Ukosefu wa kazi: 4.1%
No.3 Solon, OH
Idadi ya watu: 23,300
Ukosefu wa kazi: 8.2%


No.2 - Milton, MA
Population: 27,000
Ukosefu wa kazi: 6.6%


No 1 - Louisville, CO
Idadi ya watu: 18,400
Ukosefu wa kazi: 6.3%